CHANGIA DAMU SALAMA OKOA MAISHA

Taasisi ya Upholding community rights kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamefanikiwa kuendesha zoezi la Uhamashishaji na uchangiaji damu salama kwa kushirikiana na Ofisi ya Mganga mkuu wa Wilaya pia Mkurugenzi wa Shirika la Upholding community rights amehimiza jamii kuchangia damu mara kwa mara ili kuokoa maisha ya Wahitaji

Comments

Popular Posts