Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Upholding community Rights akitoa Msaada kwa Wanawake wenye Mahitaji Maalum kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Arusha
Taasisi ya Upholding community rights kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Arusha wamefanikiwa kuwatembelea Wanawake wenye Mahitaji maalum kwa kuwapa faraja pamoja Huduma za ki utu ikiwa na lengo la kuiasa jamii kuendelea kuwajali wenye uhitaji ili kujenga Jamii yenye usawa hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Upholding community rights wakati alipokuwa akitoa chakula kwa Mama mwenye Mahitaji maalum
Comments
Post a Comment