Posts

https://www.who.int/initiatives/act-accelerator/covax

 https://www.who.int/initiatives/act-accelerator/covax

Jinsi ya kupambana na Ugonjwa wa Corona

Image
 

Upholding community rights give a message on Basic Human rights please watch the video and learn it

Image
 The Upholding Community Rights emphasize on Adhered of Human rights please watch above video to learn what are Basic Human rights is 

Okoa Maisha sasa kwa kuchangia Damu salama

Image
 Maswali muhimu kwa anayechangia Damu salama

CHANGIA DAMU SALAMA OKOA MAISHA

Image
Taasisi ya Upholding community rights kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamefanikiwa kuendesha zoezi la Uhamashishaji na uchangiaji damu salama kwa kushirikiana na Ofisi ya Mganga mkuu wa Wilaya pia Mkurugenzi wa Shirika la Upholding community rights amehimiza jamii kuchangia damu mara kwa mara ili kuokoa maisha ya Wahitaji

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Upholding community Rights akitoa Msaada kwa Wanawake wenye Mahitaji Maalum kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Arusha

Image
  Taasisi ya  Upholding community rights kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Arusha wamefanikiwa kuwatembelea Wanawake wenye Mahitaji maalum kwa kuwapa faraja pamoja Huduma za ki utu ikiwa  na lengo la kuiasa jamii kuendelea kuwajali wenye uhitaji ili kujenga Jamii yenye usawa hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Upholding community rights wakati alipokuwa akitoa chakula kwa Mama mwenye Mahitaji maalum

https://app.unv.org/api/doa/doa/1699270685536512/social.html

https://app.unv.org/api/doa/doa/1699270685536512/social.html